msaada jamani wa sherian kwa anayejua hii

congobe

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2012
Posts
561
Reaction score
131
mm mwalimu s school nimetumabarua pamoja na cheti cha ndoa naomba kumfuata mume wangu kwa maa ya kuhamia aliko ilia nabaniwa na mabosi je nifanyeje naambiwa nitafute mwalimu mbadalanimpereke ndo mi nipate kuhama sitendewi haki
 
Zamani ili mwalimu
apate uhamisho
kirahisi walikuwa
wanafoji vyeti vya
ndoa.....wanavipeleka
wilayani uhamisho
unafanyika faster!!
sasa wewe una ndoa
halali unazubaa nini??
nenda kwa REO, kama
DEO anakuzengua!!
 
Zamani ili mwalimu
apate uhamisho
kirahisi walikuwa
wanafoji vyeti vya
ndoa.....wanavipeleka
wilayani uhamisho
unafanyika faster!!
sasa wewe una ndoa
halali unazubaa nini??
nenda kwa REO, kama
DEO anakuzengua!!

NASHKURU sana ndugu yangu kwa ushauri wako mzuri nitaenda huko J3 maana niko kijijini nkamwone REO aksante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…