msaada jamani wa sherian kwa anayejua hii

msaada jamani wa sherian kwa anayejua hii

congobe

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2012
Posts
561
Reaction score
131
mi mwalimu nataka kumfuata mume wangu anakoishi nimetuma barua ya maombi pamoja na cheti cha ndoa ,kwanza head master ame coment kwamba imepitishwa afikiriwe kupatiwa mwalimu mbadala,nimemwona DEO anasema nipereke mwalimu ndo nipate kuhama kumfuata mume wangu naomba ushauri wenu walimu tunaonewa sana jamani
 
Hili peleka kwenye jukwaa la sheria utapata jibu,humu wanataka kusikia TCU tu
 
Back
Top Bottom