Van persie JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,099 Reaction score 720 Apr 21, 2013 #1 hivi nini maana ya neno randama za bajeti hili neno nimelisikia sana bungeni lakini siielewi nini ambacho kinazungumziwa,mwenye kufahamu anisaidie.
hivi nini maana ya neno randama za bajeti hili neno nimelisikia sana bungeni lakini siielewi nini ambacho kinazungumziwa,mwenye kufahamu anisaidie.