Habari ndugu zangu? naombeni ushauri, namiaka 30 ni mama wa mtoto mmoja wa miaka nane nilijifungua vizuri, ila tatizo limeanza mimba zinazofata ikifika miezi saba nablid ghafla bila maumivu yoyote na kupoteza mtoto na mimi kufanyiwa upasuaji, nimefanya vipimo mimi na mr vipimo havioneshi ugonjwa, naombeni msaada tafadhali.