Msaada jamani

Prayer

Member
Joined
Aug 10, 2016
Posts
7
Reaction score
4
Habari ndugu zangu? naombeni ushauri, namiaka 30 ni mama wa mtoto mmoja wa miaka nane nilijifungua vizuri, ila tatizo limeanza mimba zinazofata ikifika miezi saba nablid ghafla bila maumivu yoyote na kupoteza mtoto na mimi kufanyiwa upasuaji, nimefanya vipimo mimi na mr vipimo havioneshi ugonjwa, naombeni msaada tafadhali.
 
Ni mimba ngapi?
Kuna case tulisomaga shulen inaitwa Rh factor inarelate na tatizo lako, ila najua hiyo case inatibika kwny karne hii ya 21
 
painless bleeding ni dalili za placenta preavia,
ni preg ya ngapi inatoka? na zote unapasuliwa?
 
naomba niongeze jambo hapo . . mke wangu anaenda mp wakat ni mjamzto . inakuaje hapo wajuzi?
 
hapo mtafute daktar wa akina mama kabla ya kubeba mimba nyingine, yeye atakuelezea predisposing factors ili ujauzito unaofuata uwe salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…