le madame JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 476 Reaction score 264 Apr 13, 2017 #1 Mtoto wa kiume miezi 10, sasa hapendi Kula zaidi ya kunyonya na uzito haongezeki ni miez 3 constant anamaintain, nimeshabadili vyakula hadi basi, multivitamin sijaoba mabadiliko, sasa vipi
Mtoto wa kiume miezi 10, sasa hapendi Kula zaidi ya kunyonya na uzito haongezeki ni miez 3 constant anamaintain, nimeshabadili vyakula hadi basi, multivitamin sijaoba mabadiliko, sasa vipi
C Charity Jackson Member Joined Apr 8, 2017 Posts 14 Reaction score 6 Apr 13, 2017 #2 Jamani msaada mnisaidie ,dawa ya kienyeji ya malaria sugu!na U.T.I
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,518 Reaction score 13,144 Apr 13, 2017 #3 Charity Jackson said: Jamani msaada mnisaidie ,dawa ya kienyeji ya malaria sugu!na U.T.I Click to expand... Ungeanzisha uzi wako ingekuwa poa sana hichi ulicho fanya sio sahihi.
Charity Jackson said: Jamani msaada mnisaidie ,dawa ya kienyeji ya malaria sugu!na U.T.I Click to expand... Ungeanzisha uzi wako ingekuwa poa sana hichi ulicho fanya sio sahihi.
C Charity Jackson Member Joined Apr 8, 2017 Posts 14 Reaction score 6 Apr 13, 2017 #4 Unajua sijajua kutumia mtandao,samahani ntauliza ngoja nifute