gracious86
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 437
- 54
wapendwa wadau wa j.f, eti inawezekana ktk simu ya mkononi kublock namba ya mtu call isiingie kama anapiga, wala text msgs zisiingie! Inawezekana hii kweli? Tafadhali kama inawezekana naombeni mnielekeze how! Shukrani wadau wote...
Inawezekana..
Mimi natumia SAMSUNG E??? ya mchina (inauzwa TZS30,000) - Kwenye calls management ina option ya Add to Reject List .. Uki-Add namba ya mtu kwenye hiyo list hawezi kukupigia wala kuku-text!
wapendwa wadau wa j.f, eti inawezekana ktk simu ya mkononi kublock namba ya mtu call isiingie kama anapiga, wala text msgs zisiingie! Inawezekana hii kweli? Tafadhali kama inawezekana naombeni mnielekeze how! Shukrani wadau wote...
Inawezekana, sema unatumia simu ya aina gani ili usaidiwe.
nokia 3230 mkuu! Shukrani!
Duh! Hiyo inaweza kuwa ngumu.
Option ya kwanza: Remove your sim card, and all your incoming, outgoing, sms will be blocked.
Option ya pili: If you want to block contacts on the 3230, go to My-Symbian.com - Symbian OS Series 60 1st & 2nd Edition Software and News and search for "blacklist" in the catalog (the search box is at the bottom of the leftmost column).
Option ya tatu: for your own risk, dowload software hapa Free game block d for nokia 3230 to download at PTF
Ningekusaidia zaidi ila muda wa supu umefika.
Inaelekea una usongo sana wa kum-block huyo mtu...natamani angeona juhudi zako huku za kulifanikisja hilo!
wapendwa wadau wa j.f, eti inawezekana ktk simu ya mkononi kublock namba ya mtu call isiingie kama anapiga, wala text msgs zisiingie! Inawezekana hii kweli? Tafadhali kama inawezekana naombeni mnielekeze how! Shukrani wadau wote...
search software iitwayo advanced call manager..inaakubali katika hiyo simu yako
hata mimi natumia samsung kwa hilo inawezekana sijui wewe kwa simu yako unatumia kampuni gani?ila nashangaa kwanini ublock number?na utablock watu wangapi anyway sababu ni maamuzi yako ila naona kama una kitu nyuma ya pazia!