Msaada Jamani

marwarwa

Senior Member
Joined
May 3, 2016
Posts
107
Reaction score
50
Mwanamke kutokwa na ute mweupe ukeni Kama lotion au maji ya mchele. Je tatizo hili linasababishwa na nn na je linachangia kutopata ujauzito?
 
Itakua ni maumbile ya kihomoni,..mpeleke kwa daktari wa wanawake atamsaidia
 
Hauna harufu yoyote.
Huana shida mkuu kama hauna harufu ila kama unaharufu kali inabidi umpeleke hospital kwa ajili ya matibabu zaidi. Pia haina uhusiano wowote na kutokushika kwa mimba ongeza viuno tu mkuu .
 
Unatoka wakati gani? Una harufu, rangi pia. Ni kawaida mwanamke kutoa ute usio na harufu ukeni akiwa kwenye heat period ute huuwezesha uume kuingia bila shida wakati wa kujamiiana
 
Unatoka wakati gani? Una harufu, rangi pia. Ni kawaida mwanamke kutoa ute idiot na harufu ukeni akiwa kwenye heat period ute huuwezesha uume kuingia bila shida wakati wa kujamiiana

Anazungumzia ule ambao sio wa kawaida kama juice ya mihogo,..
 
Mandenyii Mimi ni mtumzima na ninatambua hicho unachomaanisha, ninamiaka mitatu ndani ya ndoa,kinachotoka kingekua nichakawaida nisingeomba ushauri.
 
Mandenyii Mimi ni mtumzima na ninatambua hicho unachomaanisha, ninamiaka mitatu ndani ya ndoa,kinachotoka kingekua nichakawaida nisingeomba ushauri.
wahi hospitali na hakikisha unaonana na daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…