Msaada Jamani

Msaada Jamani

marwarwa

Senior Member
Joined
May 3, 2016
Posts
107
Reaction score
50
Mwanamke kutokwa na ute mweupe ukeni Kama lotion au maji ya mchele. Je tatizo hili linasababishwa na nn na je linachangia kutopata ujauzito?
 
Ningekusaidia jibu ila hili jukwaa anakaa mkwe wangu
 
Anakuwa kala wali sana au kupaka lotion zaidi [emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135].
 
Back
Top Bottom