Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Wapendwa habari zenu mie mgeni mwenzenu naomba kujua hili etii vile vifaa vya kupima ujauzito, jina la kitaalamu silijui vina mstari wa blue na red vinatumika kipindi kipi haswa i mean,kuanzia muda gani tangu umekutana na mwanamume!!? ntashukuru kwa msaada wenu.