Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
wapendwa habari zenu??
mie mgeni mwenzenu naomba kujua hili! etii vile vifaa vya kupima ujauzito,jina la kitaalamu silijui vina mstari wa blue na red vinatumika kipindi kipi haswa i mean,kuanzia muda gani tangu umekutana na mwanamume!!? ntashkuru kwa msaada wenu
aaah wapi nipo fit af nimeongeza na kikombe ya loliondo kwA kinga so virusiUmecheza rafu nini? Mimba sio issue sana kapime Ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa
aaah wapi nipo fit af nimeongeza na kikombe ya loliondo kwA kinga so virusi
hata kama vikubwa kama mende wa toilate vinagongana na loliondo.
Sio peke yako mkuu na mimi poa long time nilijua ni mwanaume huyuNilijua ww ni me..
Sio peke yako mkuu na mimi poa long time nilijua ni mwanaume huyu