Msaada jamani

Werewere

Member
Joined
Mar 23, 2019
Posts
19
Reaction score
10
Nina demu wangu na alishawekaga vijiti mkononi vya kuzuia mimba, lkn juz kati kaniambia kama ana dalili zote za kuwa kabeba mimba. Ila amepima hamna kitu. Msaada Kwa wajuzi je ni keel inaweza ikawa kaweka vijiti lkn bado akabeba mimba?
 
Hmm, vijiti [emoji848]
Au mimi sielewi,vijiti (sticks) na mimba (pregnancy),kuweka mkononi (hands)! vina connection gani mkuu (sexual intercourse/IVF)
Am confused
 
Nina demu wangu na alishawekaga vijiti mkononi vya kuzuia mimba, lkn juz kati kaniambia kama ana dalili zote za kuwa kabeba mimba. Ila amepima hamna kitu. Msaada Kwa wajuzi je ni keel inaweza ikawa kaweka vijiti lkn bado akabeba mimba?
Vile vijiti vinakuwa na life span, eg three yrs, 5 yrs etc. Unapoweka kinakuwa kina induce some chemical ambazo huzuia mimba.

In that case, akiweka kijiti akapata mimba it's either.
1. Kime expire i.e beyond it's life span
2. Walimuweka vibaya.

NB. Anaweza akawa na dalili za mimba but akawa hana ila ni reaction ya hicho kijiti na hormones za mwili AU.

Ana mimba, lakini kutoka na hormones inbalance or hormonal complexion HGC hormones zimechelewa kurise.

Mimba haijifichi, time tells all.
 
Basi ndiyo maana hujui kijitu kwenye uzazi wa mpango, tuishie hapo maana nabishana na mtoto
Kuna mtoto huko kwenu ana grand daughter [emoji848][emoji848]
Still hujaniambia hiko kijiti kina tunction vipi,personally me na bibi yenu hatujawahi kutumia any sort of sticks kwnye family planning
 
Ndio ana miaka 2 toka amewekewa
 
Kuna mtoto huko kwenu ana grand daughter [emoji848][emoji848]
Still hujaniambia hiko kijiti kina tunction vipi,personally me na bibi yenu hatujawahi kutumia any sort of sticks kwnye family planning
Wapo nawewe ni mmoja wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…