upembuzi yakinifu: uchunguzi wa kina
suala mtambuka: ni suala linalomgusa kila mtu au jamii tofauti za wanaadamu.
eg. AIDS ni suala mtambuka kwa kuwa kila mmoja wetu natapaswa kuchukua tahadhari juu ya ugonjwa huu.
mimi si mweledi sana wa kiswahili ila huu ni mtazamo wangu tu