View attachment 2240
Bi. Maua Shaha (kushoto) akiunyanyua mkono wa mwanae Abdalah Mbonde, leo mchana kuwaonesha Waandishi wa Habari uvimbe unaozidi kumuongezeka kila kukicha na kuwaelezea jinsi anavyopigwa danadana na Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili juu ya kumfanyia upasuaji mwanae huyo.