nenda hospitali, mitishamba haitakusaidia. na kifafa sio jini. kha!Jamani nahitaji msaada wa matibabu ya kifafa haraka. Kuna watu wananiambia kuwa tiba sahihi ya kifafa ni kwa kutumia mitishamba na si kutumia dawa za hospitalini. Sasa nimeshindwa kufanya maamuzi ya kuanza matibabu. Mwenye ukweli atoe msaada jamani. Nataka jumatatu trh 17 Oct 2011 nianze tiba.
Asanteni