Msaada jamani

Coolbaby

Senior Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
116
Reaction score
5
Nina rafiki anatatizo huwa akiwa na mpnz wake faragha wakiwa wanafanya ile mbuzi kagoma kwenda huwa kuna sauti inatoka
 
Sasa inamuudhi sana mpaka ananiomba ushauri mi nikamjibu cjui labda nije niwaombe ushauri kwann inakuwa hvyo na afanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…