Jamani naomba kuuliza ndg zangu wana jf, ni dalili zipi ambazo anakuwa nazo mwanamke anayetumia vidonge au sindano za uzazi wa mpango? Na dalili hizi(kama zipo) huanza kujitokeza baada ya mda gani? Na je kuna uwezekano wa kuaribu nguvu za dawa hizo endapo mtumiaji atahitaji kuziharibu? Natumaini mwenye ufahamu tu juu ya hili atanijuza!! Shukrani za dhati kwa kila mwenye majibu ya busara!!