Msaada jamani

STIDE

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
997
Reaction score
351
Jamani naomba kuuliza ndg zangu wana jf, ni dalili zipi ambazo anakuwa nazo mwanamke anayetumia vidonge au sindano za uzazi wa mpango? Na dalili hizi(kama zipo) huanza kujitokeza baada ya mda gani? Na je kuna uwezekano wa kuaribu nguvu za dawa hizo endapo mtumiaji atahitaji kuziharibu? Natumaini mwenye ufahamu tu juu ya hili atanijuza!! Shukrani za dhati kwa kila mwenye majibu ya busara!!
 
sijaelewa....unataka kujua dalili au madhara?....hebu fafanua kidogo
 
sijaelewa....unataka kujua dalili au madhara?....hebu fafanua kidogo
Ndg naomba rudia kwa ufasaha utaielewa! Hakuna sehemu niyotaja madhara. Nahitaji dalili anazokuwa nazo mwanamke anayetumia vidonge au sindano za majira( uzazi wa mpango)
Nadhani umenipata mkuu.
 
mm sio mtaalamu bali wifi yangu aliniambia kua unatoka damu kidogo kidogo kila cku yani yani hauko free from blood kama wanawake wenzio ambao watakua na 4 au 7 kwa wale wenye cku ndefu ila ww ni kila siku lazima matone ya damu unayo kama kawa yani
dalili zingine cjui
 
Shukrani sana, jumapili njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…