wiki iliyopita nilikutana na bf wangu sehemu tulikuwa na mgogoro baada ya kujua kuwa anamtu mwingine siku za nyuma, tulikutana ili tujadili kuhusu mgogoro uliokuwepo kati yetu, baada yakumbana sana na maswali alidai basi tuachane, nilimuliza zaidi ya mara3 "are you serious" alijibu kwa elfi kubwa "am very very serious" zaidi ya mara3, nililia sana mda huo badae nikamshukru mungu, na kumwambia usinipigie simu wa kunitumia sms, akadai nisifanye hayo maamzi magumu sana, akadai nitafakari maamzi yangu kwanza, baada ya siku 3 alinitext "life is undefined my dia tumestop mahusiano lakini si urafiki wakawaida" kila siku asubuhi akawa ananiamsha nikasome, na mimi napokea simu na kumwambia aksante, juzi kanitext akidai "he not settled at all, completely failed kuachana na me, kwani amegundua kuwa ananipenda toka moyoni" nilimjibu "you can't be serious" sasa toka juzi anataka kuja kunitembelea, mimi kila nikifikiria kumuruhusu aje roho inagoma kabisa, sababu nampenda sana na ananiumiza kila kukicha ni mwaka wa3 sasa ila matukio yake yamezidi, week ya pili sasa kila nikijitahidi kusahau nashindwa kabisa kwani nilimpenda toka moyoni na sikuwahi kumcheat!! mawazo yenu jamani maana kila siku nimekuwa mtu wakuwaza tuu na kujikuta nakata tamaha kabisa!!