Msaada jamani

tata mvoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
534
Reaction score
81
habari zenu wakulu! Natakakusoma CPA ila sijui qualification zao nimejaribu kuingia kwenye web yao ila link ya qualification haifunguki ila inaleta error.Hivyo basi kwa mwenye ufahamu juu ya:
1)Sifa za kufanya mitihani ya CPA
2)Ada ya kujiunga
3)Ada ya kufanya mtihani
4)Sehemu zinapofanyika Review classes
5)Kwa mtu asiyekuwa na Diploma au degree ya accountancy ataanzia module ipi?
6)Pia na ushauri kama upo.
Natanguliza shukrani
 
Mwenzako kasikia ukiwa na cpa unakula mshahara mzito we unamkatisha tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…