Habari zenu wanajamvini! Nauliza tu jamani, nimemaliza Diploma - Business Administration- CBE pale mwaka 2011, sasa nataka mwakani nijoin chuo kwa ajili ya diploma ila nataka nijoin UDSM au IFM, maana nina B nne ya miaka yote miwili ambayo nimesoma na C almost 16. naomba msaada wenu ili nijui kama naweza pata au niangaike na vyuo vingine.