Msaada jamani

P.R.O

Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
25
Reaction score
1
Mimi nina tatizo na uso wangu jamani,.yaani una mafuta kiasi kwamba napata chunusi na m nt looking gud 4 real,.hamna ht lotion inayonikubali cz nyingi zina mafuta,mpaka inafikia na2mia lotion za kiume nikiamini ni kavu..naomba mnisaidie mwenye utaalamu na nyuso ili na mimi cku 1 niwe na muonekano mzuri..nifanyeshe niwe soft?
 
jaribu kufanya utafiti yakinifu wa aina ya ngozi yako....then ukishajua.....njoo tukupe full dozi ya product za kutumia.....utapendezajeee...
ila epuka kupaka lotion usoni...jaribu kutumia products maalum kwa oily skin....
 
nenda sauna, then waone dermatologist
 
jaribu kufanya utafiti yakinifu wa aina ya ngozi yako....then ukishajua.....njoo tukupe full dozi ya product za kutumia.....utapendezajeee...
ila epuka kupaka lotion usoni...jaribu kutumia products maalum kwa oily skin....
yaani ht product oil product sizijui cz product nyingi ni za ngozi kavu,.mimi ngozi yangu ni ya mafuta ht nikiamka asubuhi nakuta mafuta usoni.
 
kama chunis nyingi fanya mpango wa kujifungua ili ziishe fasta...
 
jaribu kufanya utafiti yakinifu wa aina ya ngozi yako....then ukishajua.....njoo tukupe full dozi ya product za kutumia.....utapendezajeee...
ila epuka kupaka lotion usoni...jaribu kutumia products maalum kwa oily skin....

Kasema ana ngozi yenye mafuta. Hebu toeni data mdada wa watu apendeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…