Nyuki baby
Member
- Feb 24, 2012
- 85
- 8
Huu ndio tunauita utoto, yaani Family plan ya nyumbani kwako unashindwa kupanga na mke wako unataka upangiwe na JF members!!Jamani labla cjatoa maelezo ya kutosha ni kwamba mm nna wife sema 2na baby ambaye bado ni "mdogo" then wife anataka baby mwingine na naona leo anantegeshea ss naogopa acje "kunasa" wenyewe cmjua life tafu! Pleas nisaidieni!!