Msaada jamani!

Msaada jamani!

TZ boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
629
Reaction score
183
Hivi aliye somea EGM anaweza akasomea computer science na vyuo gani anaweza aka pata msaada jamani wajuzi
asanteni!
 
Yan deadline ya kufanya application imepita wewe ndo unakuja kuomba msaada?
 
Hivi aliye somea EGM anaweza akasomea computer science na vyuo gani anaweza aka pata msaada jamani wajuzi
asanteni!

Nenda St. Joseph college of information utapata ila lazina o-level physics uwe ulitoka na credit, Kuna jamaa yangu last year alipata III-16 yaani Eco-E,Geog-E na Math-S saivi anaingia mwaka wa pili Hapo St Joseph
 
thanks sana bro
 
tcu hawajafunga application mpaka hii leo tarh 8/july so kama vipi we edit account yako usiogope wala nini
 
Back
Top Bottom