Nenda St. Joseph college of information utapata ila lazina o-level physics uwe ulitoka na credit, Kuna jamaa yangu last year alipata III-16 yaani Eco-E,Geog-E na Math-S saivi anaingia mwaka wa pili Hapo St Joseph