wana jf naomba kwa hili, mwenzenu korodani zangu kuna mda nakuwa nahisi kama kuna moto unaziunguza, afu na mashine nakuwa nahisi ni ya barid! naomba ushauri wa kitaalamu.
Mkuu.@aliyechoka Nenda Hospitali kamuone Daktari ikiwezekana kama upo Dar Nenda Hospitali ya rufaa ya Muhimbili kuna Wataalam watakupima na kukupa dawa na utapona Pole sana.