Hello
Rangoo,
Wewe ni jinsia gani na una umri gani, kazi?
-Maumivu ya tumbo yako kwa muda gani?
-Maumivu ya tumbo yanakuwa eneo gani la tumbo(juu ya kitovu kulia/kushoto?chini ya kitovu kushoto/kulia?
-Je maumivu haya yanauma yakielekea upande/sehemu yeyote?
-Toka tatizo lianze umewahi kudondoka?Kuhisi kuchoka, au kuhisi mapigo ya moyo?
Je, umewahi kutumia pombe?(kama ndiyo, kwa muda gani na pombe kiasi gani kwa wiki?
Vipi kuhusu uvutaji wa sigara?
Je una ugonjwa wowote wa muda mrefu, pengine kukufanya utumie dawa za maumivu kila mara?
Kuna ndugu yeyote(upande wa Baba au mama wako aliyewahi kuambiwa/kugundulika ana tatizo la vidonda vya tumbo," Ulcers"?
-Kuna dawa zozote unazozitumia sasa?