hyle master
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 207
- 23
habar zenu wakuu nina mdogo wangu aliyemaliza kidato cha nne mwaka jana ana C nne ya phy chem kisw na eng masomo mengine ana D je ningependa kujua kuna uwezekano kweli akachagulia govt school au nijiandae tu kumtafutie private school kujiunga na kidato cha tano na ni combination gan inamfaa kwa hayo matokeo