cute beiby
Senior Member
- Feb 12, 2012
- 129
- 44
Wakubwa shikamo, wadogo habari zenu !
Nilikuwa naomba kufahamishwa hivi kama umeolewa ndoa ya kiislam kutokana na sababu zisizo zuirika inabidi kutengana , taratibu gani zinabidi kufuatwa ??
Na hatuna watoto ila ni mjamzito.
Na vipi kuhusu kugawana mali inakuwaje?
Matunzo ya mtoto je?
Huwa inachukua muda gani?
Naombeni msaada wenu maana mambo yamekuwa magumu sana.