Msaada Jamani

Sina pa kwenda

Senior Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
113
Reaction score
15
Habari wanajamvini,

Kuna rafiki yangu ananyama sehemu ya aja kubwa, je huu ni ugonjwa gani na unatibika maana yeye anasema ni ugonjwa wa kurithi maana baba yake anao, dada na kaka yake, majuzi hapa umemsumbua sana kaenda hospital tofauti tofauti anapewa dawa tu bila kupona je kuna mtu anafahamu ni ugonjwa gani na matibabu yake.

Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…