Msaada jamani

Msaada jamani

CHIKITITA

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
445
Reaction score
158
Naomba kujua ikiwa wazazi wanatengana na wanamtoto wa miaka 2 je uhalili wa baba kumchukua mtoto ni miaka mingapi?
 
Naomba kujua ikiwa wazazi wanatengana na wanamtoto wa miaka 2 je uhalili wa baba kumchukua mtoto ni miaka mingapi?

Baba anaruhusiwa kumchukua mtoto afikishapo miaka saba.
Na haimaanishi kwamba akifksha miaka saba lazima baba amchukue icpokuwa kunavigezo vinaangaliwa kwa makini na hana hvyo vigeza bdo hata mtoto awe na miaka kumi baba yake hawezi kupewa na mahakama ili akae nae japo ataamuliwa kuwa anatoa matunzo kila mwezi kulingana na kopato chake kwaajili ya mtoto.
 
Back
Top Bottom