Baba anaruhusiwa kumchukua mtoto afikishapo miaka saba.
Na haimaanishi kwamba akifksha miaka saba lazima baba amchukue icpokuwa kunavigezo vinaangaliwa kwa makini na hana hvyo vigeza bdo hata mtoto awe na miaka kumi baba yake hawezi kupewa na mahakama ili akae nae japo ataamuliwa kuwa anatoa matunzo kila mwezi kulingana na kopato chake kwaajili ya mtoto.