Nasumbuliwa sana na muwasho mkali wenye maumivu katika njia ya haja kubwa, tatizo hili limenichukua karibu wiki tatu sasa, mara nyingi tatizo hili linanikuta nikitoka kujisaidi hapo ndo maumivu makali sana nayapata nilishajaribu kutumia dawa flani za kienyeji lakini hakuna mafanikio, jamani nini chanzo cha tatizo hili.