naomba kusaidiwa nataka kubadilisha mazingira ya kusoma nahitaji kufanya masters yangu katika nchi zifuatazo, finland, holand na norway...sasa naomba ushauri ni nchi gani ni nzuri kimasomo na ni steps zipi nizifuate kupata chuo na kudahiliwa, na jinsi ya kupata visa ya kufika kule bila mizengwe ili nifanikishe azma yangu...
naomba ushauri