Wakuu naomba msaada kila nikinyoa ndevu natokwa na vipele sana hadi vinaota usaa..hii inasababishwa na nini na dawa yake ni nini mana nimepaka dawa mbalimbali lkn cion mabadiliko
Mkuu Mzizi Mkavu,hata mimi nina hilo tatizo!,mi huwa nanyoa saluni japo huwa napunguza ndevu na kuacha ndogo sana bila kugusa ngozi ila vipele vinatokeza!,pia ningependa sana kufaham dawa za asili kuliko za kizungu,