MLEMVYA RASHID
Member
- Aug 1, 2013
- 89
- 11
Nimemaliza shahada yangu ya elimu mwaka huu 2013,,ndoto yangu ni kufanya kazi mkoa wa morogoro(mjini),,sasa nitumie njia gani ili post zitakapo toka nipangiwe hapo morogoro?? 7bu serikali inapanga inavyotaka yenyewe na si jinsi watu walivyoselect mikoa....please kwa mwenye njia au mbinu anielekeze ili niitumie,,,,asanten