Nyigo Jackson Jn
Member
- Sep 2, 2013
- 88
- 7
Issue hapo ni kwanini unataka kubadili? una aspire kuwa nani halo baadaye?
mi nimesoma HGK na kuna jamaa yangu kachaguliwa hiyo coz kwa combination kama yangu pale pale udom
Hebu ona ulichoandika...mie
sijaelewa kabisa...hivi unamaanisha kanselingi ama?? Dah long way to
maturity aisee...
una uhakika?
nilikuuliza hivyo sababu hiyo fulcut me niliona inahitaji watu waliosoma pure na bam kwa A-level
no haija guide kama uwe umesoma pure&bam