kagaruki gabone
Member
- Aug 26, 2013
- 22
- 1
Kama kuna mtu mtaalam wa mitandao ya simu humu ndani maomba kujua kama unaweza kublock sms kuingia kwenye simu yangu. Yaani msg zisiwe delivered kwangu. Pls
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna mtu mtaalam wa mitandao ya simu humu ndani maomba kujua kama unaweza kublock sms kuingia kwenye simu yangu. Yaani msg zisiwe delivered kwangu. Pls
yap inawezekana...kama unatumia smart phone tafuta application ya kufanya hivyo...kama unatumia HTC tafuta programm inaitwa 'sms blocker' afu install simply..unachagua list ya namba unaziweka kwenye black list basi...wakikupigia wanaambiwa hupatikani...sms zao hazikufikii..mi natumia iyo.Kama kuna mtu mtaalam wa mitandao ya simu humu ndani maomba kujua kama unaweza kublock sms kuingia kwenye simu yangu. Yaani msg zisiwe delivered kwangu. Pls
sio jukwaa lake.
yap inawezekana...kama unatumia smart phone tafuta application ya kufanya hivyo...kama unatumia HTC tafuta programm inaitwa 'sms blocker' afu install simply..unachagua list ya namba unaziweka kwenye black list basi...wakikupigia wanaambiwa hupatikani...sms zao hazikufikii..mi natumia iyo.
Kama kuna mtu mtaalam wa mitandao ya simu humu ndani maomba kujua kama unaweza kublock sms kuingia kwenye simu yangu. Yaani msg zisiwe delivered kwangu. Pls