Msaada jamani

Joined
Aug 26, 2013
Posts
22
Reaction score
1
Kama kuna mtu mtaalam wa mitandao ya simu humu ndani maomba kujua kama unaweza kublock sms kuingia kwenye simu yangu. Yaani msg zisiwe delivered kwangu. Pls
 
Kama kuna mtu mtaalam wa mitandao ya simu humu ndani maomba kujua kama unaweza kublock sms kuingia kwenye simu yangu. Yaani msg zisiwe delivered kwangu. Pls
yap inawezekana...kama unatumia smart phone tafuta application ya kufanya hivyo...kama unatumia HTC tafuta programm inaitwa 'sms blocker' afu install simply..unachagua list ya namba unaziweka kwenye black list basi...wakikupigia wanaambiwa hupatikani...sms zao hazikufikii..mi natumia iyo.
 
..........
Je kama ni hiz Nokia tochi zetu unafanyaje????
 
Madam amna bwana. Ila vimeo kibao yaani natamani ningekuwa network operator kabsaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…