Salaam,
Hisa (shares) ni kuwekeza ama kuwa sehemu ya umiliki wa kampun husika kulingana na kiasi cha hisa utakazokuwa umenunua. Kwa mfano, kampuni ikiwa na thamani ya 1billion, wewe ukaweza kuwekeza 550,000,000/= utakuwa mwenye maamuzi ya mwisho juu ya kampuni husika.
Faida za hisa huitwa gawio ambalo hupatikana kwa vipindi ambavyo mtakubaliana na wenye/mwenye kampuni ambapo faidaya kila mwezi/miezi mitatu/miezi sita au mwaka (Kadri mtakavyoona inafaa) hutolewa kwa kulingana na asilimia ya uwekezaji kwa kila mwanahisa. Kama umewekeza kwa 10% ya gharama za kampuni, basi gawio utakalopata litakuwa ni 10% ya faida yote ya kampuni kutoa administration costs.
Kila la kheri!!