mtoto wangu wa kiume ana umri wa mwaka 1 na miezi miwili anakojoa mkojo ambao anacha alama kwenye nguo hata ukifua na sabuni alama hizo hazitoki na muda mwingine anapenda kuchezea dudu yake. kwasasa anaumwa na alipewa dawa ya malaria aina ya mseto, na amemaliza juzi jioni ila mpaka sasa anachemka. tafadhali naomba msaada wenu.