Msaada jamani

Msaada jamani

nuruni

Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
8
Reaction score
3
Naomba yeyote mwenye ujuzi kuhusu jinsi ya kupunguza tumbo kwa njia ya kutumia kabegi.me ni mgeni kwenye jukwaa hili naomba mnipokee.
 
Naomba yeyote mwenye ujuzi kuhusu jinsi ya kupunguza tumbo kwa njia ya kutumia kabegi.me ni mgeni kwenye jukwaa hili naomba mnipokee.

Fanya mazoezi ya viungo
Usile chakula mpaka unazaza
 
Muuh hujui kabeji lo ni kabichi kwa kiswahili kabisa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom