N nuruni Member Joined Feb 19, 2014 Posts 8 Reaction score 3 Feb 20, 2014 #1 Naomba yeyote mwenye ujuzi kuhusu jinsi ya kupunguza tumbo kwa njia ya kutumia kabegi.me ni mgeni kwenye jukwaa hili naomba mnipokee.
Naomba yeyote mwenye ujuzi kuhusu jinsi ya kupunguza tumbo kwa njia ya kutumia kabegi.me ni mgeni kwenye jukwaa hili naomba mnipokee.
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,663 Feb 20, 2014 #2 nuruni said: Naomba yeyote mwenye ujuzi kuhusu jinsi ya kupunguza tumbo kwa njia ya kutumia kabegi.me ni mgeni kwenye jukwaa hili naomba mnipokee. Click to expand... Fanya mazoezi ya viungo Usile chakula mpaka unazaza
nuruni said: Naomba yeyote mwenye ujuzi kuhusu jinsi ya kupunguza tumbo kwa njia ya kutumia kabegi.me ni mgeni kwenye jukwaa hili naomba mnipokee. Click to expand... Fanya mazoezi ya viungo Usile chakula mpaka unazaza
Rahabu JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 5,526 Reaction score 3,341 Feb 21, 2014 #4 Muuh hujui kabeji lo ni kabichi kwa kiswahili kabisa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
N nuruni Member Joined Feb 19, 2014 Posts 8 Reaction score 3 Feb 21, 2014 Thread starter #5 Naombeni mwenye jibu sahihi please