kinamuumaje?maumivu yanaendelea mpaka kwenye mkono?anadalili za kukosa pumzi au kutokupumua sawasawa!
Kuna uwezekano ana tatizo la moyo..akacheki hilo!Adai kinachoma, alpoenda hosptal akaambiwa hawaon tatzo ila wakamwambia ajarbu ku2mia dawa za pressure ka2mia bado hazmsaidii, mda mwng mapgo ya moyo yamwenda mbio ndo dalil ninayoijua kwake.