Powel Mizengo
Senior Member
- Jan 20, 2014
- 126
- 24
Naomba kuuliza!!!Nina shemeji yangu ana Diploma ya IT anataka kuendelea na Degree ameniuliza ni kozi gani tofauti na IT anaweza endelea nayo ambayo anaruhusiwa kuomba nafasi ya chuo?Na ipi ni marketable?