P Powel Mizengo Senior Member Joined Jan 20, 2014 Posts 126 Reaction score 24 May 6, 2014 #1 Naomba kuuliza!!!Nina shemeji yangu ana Diploma ya IT anataka kuendelea na Degree ameniuliza ni kozi gani tofauti na IT anaweza endelea nayo ambayo anaruhusiwa kuomba nafasi ya chuo?Na ipi ni marketable?
Naomba kuuliza!!!Nina shemeji yangu ana Diploma ya IT anataka kuendelea na Degree ameniuliza ni kozi gani tofauti na IT anaweza endelea nayo ambayo anaruhusiwa kuomba nafasi ya chuo?Na ipi ni marketable?