Je ni madhara gani anaweza yapata mama mjamzito endapo siku zake za kujifungua zimefika na chupa imeshapasuka na hasikii uchungu ushauri namna ya kumsaidia huyu dada jamani Mzizi mkavu
Mkuu mambo mengine hayahitaji kusubiri majibu jf unaweza kupoteza mama na mtoto, kwa jambo hilo hata kama upo mbali na vituo vya afya jitahidi umbembe mgongoni umuwahishe hospitali mapema