manking
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 1,306
- 316
Habari wana jamii,
kwa muda kama wa mwezi hivi nakuwa kama nimepaliwa na kitu bila hata yakula chochote wala kunywa ni(hewa tu)
hii inanipelekea kukohoa na kupoteza sauti kwa kama dakika moja. Hali hii inajirudia mara kwa mara. nimetumia dawa kama vile, mucolin, amoxylin na elythromycin sijaona mabadiliko.
Wenye uzoefu naombeni kujua ninatatizo gani na dawa yake ni nini. Ahsanteni.