mueleze haya mambo mume wako bila kumficha, atakusaidia.Nina miaka 35 nilianza mahusiano nilipimaliza kidato cha NNE,Nina mume na ninampenda, kabla sijaolew nimewahi Kuwa na mahusiano na wanaume watatu , Ila nafanya tendo LA ndoa kama kutimiza wajibu,sisikii raha yoyote,na ht kwa hao wanaume wengine sijawahi kusikia raha , nitakuwa na shida gani?