Msaada jamani

Msaada jamani

kishtobe86

Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
7
Reaction score
0
Habari za sikukuu wakuu naomba mnisaide hata ushaur nahitaji mtot ila tatzo nimeambiwa tatizo homon hazijabalance na mirija imeziba nahitaji kujua sehem nzur ya tiba ya kienjeji au hospital nisaidien jamn ndoa naanza kuiona chungu mapema
 
kwanza kabsa nakupa pole ndugu yangu, mimi nina maswali mawili, JE ULISHAWAHI KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE,,, JE HUWA UNAJICHUA KUPITA KIASI???
 
Sijawahi kufanya hata kujaribu hayo mambo nayasikiaga tu yan mkuu
 
Mnacho kiamini katika dunia hii hakuna linalo shindikana ila sisi wanadam ndo tunafanya mambo kuwa magum ndugu mpendwa nenda hospital kubwa onana na dactari pia yupo mungu muweza wa yote hakuwahi kushindwa kwani tatizo lako limesha onekana mwamini ili upokee uponyaji hakika utakuwa sawa na watoto utawapata
 
Sijawahi kufanya hata kujaribu hayo mambo nayasikiaga tu yan mkuu

Kama upo hapa dar es salaam, kuna sehem pale lego-sinza wanatibu magonjwa sugu ya uzazi kama vile kuziba mirija ya uzazi, panaitwa SURE HERBAL CLINIC.Ila usianze kutumia dawa za asili kwanza,nenda kawaone hao jamaa wapo vizuri sana, jaribu kupiga hii namba yao (0716100100) watakupa maelezo zaidi, pole sana mkuu.
 
Asnte mkuu ngoj niwapigie
 
Back
Top Bottom